Monday, November 23, 2015

Mzee Mohamed  Paschal Shija , anasumbuliwa na mguu kwa kipindi cha miaka 8 toka alipoaanza kuumwa  mwaka 2006, hana msaada wowote, kwani hata nyumba anayoishi kiukweli  haipo katika mazingira mazuri; anahitaji msaada  wako ewe mtanzania kwa hali na mali ,  kwa yeyote anayetaka kumsaidia mzee huyu  aliyepo fuoni mambo sasa visiwani zanzibar  awasialiane na mtoto wake  Ali  Mohamde kwa namba  0712914468, au kwa namba yangu 0716 33 97 96 na nitampeleka kwa mzee huyu! M CHANGO WAKO UNAHITAJIKA KIUKWELI. KUTOA NI MOYO.  ASANTENI
Hii ni nyumba anayoishi Mzee Mohamed Paschal shija., Fuoni MamboSASA, Zanzibar
Akiwa  katika m,asikitiko makubwa. Nyumbani kwake  Fuoni mambo sasa, Zanzibar

Sunday, April 19, 2015

wasomaji

Karibuni wapendwa katika ukurasa wetu huu, kwa lengo la kujua matukio mbalimbali yanayotokea nchini mwetu, lengo ni kukuhabarisha wewe msomaji, ili usipitwe na lolote litakalotokea katika  nchi yetu bara pamoja na visiwani, ikiwa mambo ndo kwanza yaanaanza  , katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kuanza heka heka zake  mwezi wa saba, huk uchaaguzi wenyewe kuwa mwezi oktoba mwaka huu, me nasema tukutane octoba mpenzi msomaji ,kuweza kuamua nai ni nai, bila kusahau katiba inaopendekezwa ! basi kujua yote tembelea ukurasa huu ili usiweze kupitwa na jambo,. me nimerudi tenaa hapa kwa lengo la kukuhabarisha .
Karibuni saanaaaaaa, hapa utapata kuona video, kusikiza sauti  we ni follow tu kwenye facebook page yangu , au twitter , utakapoingia utaona kila kituuuu!!!!!!!

WEEK END

KILA REHMA MUNGU ATAJAALIA! WEEK END NJEMA WAUNGWANA!