Mzee Mohamed Paschal Shija , anasumbuliwa na mguu kwa kipindi cha miaka 8 toka alipoaanza kuumwa mwaka 2006, hana msaada wowote, kwani hata nyumba anayoishi kiukweli haipo katika mazingira mazuri; anahitaji msaada wako ewe mtanzania kwa hali na mali , kwa yeyote anayetaka kumsaidia mzee huyu aliyepo fuoni mambo sasa visiwani zanzibar awasialiane na mtoto wake Ali Mohamde kwa namba 0712914468, au kwa namba yangu 0716 33 97 96 na nitampeleka kwa mzee huyu! M CHANGO WAKO UNAHITAJIKA KIUKWELI. KUTOA NI MOYO. ASANTENI
Hii ni nyumba anayoishi Mzee Mohamed Paschal shija., Fuoni MamboSASA, Zanzibar
Akiwa katika m,asikitiko makubwa. Nyumbani kwake Fuoni mambo sasa, Zanzibar
No comments:
Post a Comment