Chezea mshono ww! chukua huo kama vipp! ni Dida huyo wa TIMES fm
Mke wa Nsilo Swai alivyomkabidhi Mzee Mandela Viatu alivyoviacha Tanzania
Monday, December 16, 2013
PUMZIKA KWA AMANI TATA MADIBAAA! TULIKUPENDA SANAAA!!!!
DAAAAH!!! VIONGOZI MBALIMBALI WALIMLILIA MANDELA , HUYU NAYE ALIKUWEPO. PUMZIKA KWA AMANI TATAAA!!!
Dogo hiloooo hapana chezeaaaa!!! Ur Dreams willl comeeeee !! Mc uuuuu ma son
MADIBA HATUNAYEEEE!!!!
Ni kiongozi aliyekuwa mpiganji na mkonbazi katika nchi ya South Afrika, unapoizungumzia South Afrika hutoweza kuimaliza historia yake bila kumtaja Madibaaa Leo amefariki dunia usiku na kuwaacha simanzi familia yake na kujmwacha mjane anayeitwa Gracia Machel. Atazikwa ktk kijiji chake huko Pretotoria , cape town ! Tutawaletea makala yake inayomhusu Madibaaaaa aliyekaa gerezani miaka 27, na alipotoka aliwasamehe wotee!!
Wananwake kutoka katika mataifa tofauti barani Afrika wamejitokeza kwa pamoja kushow love kwa kutumia nafasi hiyo kujadili masuala tofauti yanayohusu michezo ili kuweza kuleta maendeleo nchini Katika kongamano hilo Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo Amos Makalla amesema fursa zinzojitokeza lazima zichangamkiwe na wanawake kwani bila kujitokeza hakutasaidia maendeleo ya michezo nchini Nchi zaidi ya 17 zimeshiriki katika kongamano hilo na kuwataka wananchi kujitokeza siku ya jumatano kuhudhuria katika Kongamano hilo litakalokuwa na michezo mbalimbali kwa kuwahusisha wanawake na wanaume kutoka katika bara la Afrika.