MADIBA HATUNAYEEEE!!!!
Ni kiongozi aliyekuwa mpiganji na mkonbazi katika nchi ya South Afrika, unapoizungumzia South Afrika hutoweza kuimaliza historia yake bila kumtaja Madibaaa
Leo amefariki dunia usiku na kuwaacha simanzi familia yake na kujmwacha mjane anayeitwa Gracia Machel.
Atazikwa ktk kijiji chake huko Pretotoria , cape town ! Tutawaletea makala yake inayomhusu Madibaaaaa aliyekaa gerezani miaka 27, na alipotoka aliwasamehe wotee!!
No comments:
Post a Comment