WANAWAKE WAJITOKEZAAAA KONGAMANONINOOOO!!! PEACOAK HOTELL
Wananwake kutoka katika mataifa tofauti barani Afrika wamejitokeza kwa pamoja kushow love kwa kutumia nafasi hiyo kujadili masuala tofauti yanayohusu michezo ili kuweza kuleta maendeleo nchini
Katika kongamano hilo Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo Amos Makalla amesema fursa zinzojitokeza lazima zichangamkiwe na wanawake kwani bila kujitokeza hakutasaidia maendeleo ya michezo nchini
Nchi zaidi ya 17 zimeshiriki katika kongamano hilo na kuwataka wananchi kujitokeza siku ya jumatano kuhudhuria katika Kongamano hilo litakalokuwa na michezo mbalimbali kwa kuwahusisha wanawake na wanaume kutoka katika bara la Afrika.
No comments:
Post a Comment