Friday, November 29, 2013

 CHASO WATOA TAMKOO!! 

Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa  dar imetoa tamko lake kuhusiana na makanjanja wanafunzi kutoka katika umoja huo kwa kudai kuwa hawajafurahishwa na maamuzi yaliyotolewa na Kamati kuu !, sasa CHASO wanasema wanaipongeza kamati hiyo kwa uamuzi huo kwani mwanachama yeyote anayekiuka maadili ya chama anastahili kuvuliwa au kufukuzwa kabisa katika chama hicho,  kwa sababu anakwenda kinyume na taratibu za chama! 

Julius Matiko Amesema mbele ya waandishi wa habari na kusema kuwa wale si wanafunzi halali wa umoja wa chama chao , hivyo kuwataka watanzania wasiamini kwa kile wanachosema, wao kama Umoja wamepongeza kitendo hicho

 Chama akijali kabila wala cheo cha mtu kwa watu, so inatakiwa adabu utii na maadili katika chama yafuatwe kama katiba ya chama inavyoeleza. 

 Xo vp hapa kuhusiana na hili, tiririka hapo chini mdauu wanguuuu!!!

No comments:

Post a Comment