Friday, November 22, 2013

Kwa wale Wapenzi wa Burudani nchini!!!!

Wanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria  Peter na Pool, wapo nchini Tanzania kwa ajili ya kudondosha burudani zaidi kwa wapenzi wa muziki huo.

Wakiongea na waandishi wa habari  hotel ya kempisk jijini Dar , wamesema watatoa burudani ya kufa mtu ili kupoza kiu ya mashabiki waliokuwa wamewamiss kwa kipindi kirefuu  ambao watakaohudhuria siku hiyo ya onyesho .


Wanamuziki hao wanatarajia kufanya ionyesho lao siku ya jumamos tarehe 23, Nov, mwaka huu  katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaamm!!!!




WADU WANGU WALE MASHABIKI WA  WANAMUZIKI HAWA TUJUMUIKE PAMOJA KUWEZA KUSHUHUDIA BURUDANI YA KIAFRIKA na P SQUARE, NA IKUMBUKWE KUWA MMOJA WAO NI BWANA HARUSI , XO PATAKUWA HAPATOSHIII!!!!!

No comments:

Post a Comment