STORY ZA KIZUSHI !!!!!!!!!!
Vijana wanaouzwa na Wazazi wao ili kuweza kuleta kipato katika familia zao, kwanini wazazi wanafanya hivi jamani?
Kama ww mdau hebu toa maoni yako hapaaa, na kuweza kujua sababu, faida ikiwezekana tujue njia ipi tutakayotumia katika hili !!!!
Tuzungumze soteeeeeee!!!!!
No comments:
Post a Comment