CHASO WATOA TAMKOO!!
Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa dar imetoa tamko lake kuhusiana na makanjanja wanafunzi kutoka katika umoja huo kwa kudai kuwa hawajafurahishwa na maamuzi yaliyotolewa na Kamati kuu !, sasa CHASO wanasema wanaipongeza kamati hiyo kwa uamuzi huo kwani mwanachama yeyote anayekiuka maadili ya chama anastahili kuvuliwa au kufukuzwa kabisa katika chama hicho, kwa sababu anakwenda kinyume na taratibu za chama!
Julius Matiko Amesema mbele ya waandishi wa habari na kusema kuwa wale si wanafunzi halali wa umoja wa chama chao , hivyo kuwataka watanzania wasiamini kwa kile wanachosema, wao kama Umoja wamepongeza kitendo hicho
Chama akijali kabila wala cheo cha mtu kwa watu, so inatakiwa adabu utii na maadili katika chama yafuatwe kama katiba ya chama inavyoeleza.
Xo vp hapa kuhusiana na hili, tiririka hapo chini mdauu wanguuuu!!!
Friday, November 29, 2013
Friday, November 22, 2013
Kwa wale Wapenzi wa Burudani nchini!!!!
Wanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria Peter na Pool, wapo nchini Tanzania kwa ajili ya kudondosha burudani zaidi kwa wapenzi wa muziki huo.
Wakiongea na waandishi wa habari hotel ya kempisk jijini Dar , wamesema watatoa burudani ya kufa mtu ili kupoza kiu ya mashabiki waliokuwa wamewamiss kwa kipindi kirefuu ambao watakaohudhuria siku hiyo ya onyesho .
Wanamuziki hao wanatarajia kufanya ionyesho lao siku ya jumamos tarehe 23, Nov, mwaka huu katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaamm!!!!

Subscribe to:
Posts (Atom)