CHEKI VAZI LA KITENGE LINAVYOMPENDEZA MWANAMKEEE!! HAPANA CHEZEAAA
LEO KATIKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMAAA,,
Wajumbe wa bunge hilo wamlalamikia Mwenyekiti wa bunge maalum la katiba Samuel Sitta, kwa uteuzi wake wa wajumbe katika kamati mbalimbali za uongozi kuhusiana na madaraka ya wajumbe hao.
Wamesema wamejikita zaid upande mmoja wa CCM, na kumaanisha kuwa bunge hilo si la katiba bali ni la CCM.
Na katika hali ya kushangaza Mwenyekiti Taifa wa CUF, Pr, Ibrahim Lipumba ajitoa katika uteuzi wa Mwenyekiti kwa kuwa uteuzi huo haukutenda haki.
Wajumbe waliendelea kutenda kutoa malalamiko hayo kuhusiana na uteuzi, hata hivyo bunge hilo limehahirishwa mpaka kesho saa tatu.
Ni vijimambo tu ndani ya BUNGE MOVIEEEE!!!!!!
bunge la katiba laamza dodomaaa hivi sasa
YARIOJIRI BUNGENI BUNGE LA AHIRISHWA.
Jaji Warioba ashindwa kuwasilisha rasimu ya katiba bungeni .
Ni baada ya wajumbe wa bunge hilo kusimama kuomba mwongozo wa spika na kupiga kelele kabla ya Jaji kuwasilisha rasimu hiyo.
Bunge la ahirishwa mpaka watakapopewa taarifa. Endelea kupitia blog hii, kwani ni zaidi ya habarii!!
Watumia dakika kumi kukaa bungeni jion ya leo.
WARIOBA YUPO DODOMA SASA, NA BUNGE LIMESHAANZA SASA.
MCHAKATO WA KATIBAA!! JAJI WARIOBA KUTINGA BUNGENI LEO!
Mwenyekiti wa tume ya mabadililo, Jaji Joseph Warioba anatarajiwa kufika bungeni leo kuwasilisha rasimu ya katiba kwa wajumbe wa bunge Maalum la katiba.
Mwenyekiti wa bunge hilo la latiba Samuel Sita amewaanbia wajumbe kuwepo katika bunge hilo mapema ili kuweza kusikiliza kwa makini rasimu hiyo.
Amebainisha kuwa Jaji atawasilisha rasimu hiyo kwa muda wa saa mbili, badala ya saa moja kama walivyopamga hapo awali.
Baada ya kuwasilisha rasimu hiyo watakuwa na semina ya siku tatu, Kuhusiana na rasimu hiyo, kabla ya kuanza mchakato wa kujadili rasimu hiyo ya katiba.
Ni wakati wako Mtanzania sasa kufuatilia vyombo vya habari kuweza kujua majadiliano yanavyoemdelea huko bungeni mjini Dodoma.
Daah!
Nimewakumbuka sana wadau wangu na blogger wenzangu, Maisha tuuu lakini kimya kingi ujue kina mshindooooooooooo.
Nimekuja na ari na nguvu zaidi, sasa karibuni wadau kutembelea ukurasa huuu , kwa maoni na ushauri kuhusu ukurasa huu basi mnakaribishwa maoni yenu wadau kiroho safiii!!
kazi inaanza sasaaa!!!