Tuesday, March 25, 2014

BUNGENI LEOOOOO!

LEO KATIKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMAAA,,

Wajumbe wa bunge hilo wamlalamikia Mwenyekiti wa bunge maalum la katiba Samuel Sitta,  kwa uteuzi wake wa wajumbe katika kamati mbalimbali za uongozi kuhusiana na  madaraka ya wajumbe hao.

Wamesema wamejikita zaid upande mmoja wa CCM, na kumaanisha kuwa bunge hilo si la katiba bali ni la CCM.

Na katika hali ya kushangaza  Mwenyekiti Taifa wa CUF, Pr, Ibrahim Lipumba ajitoa katika  uteuzi wa  Mwenyekiti  kwa kuwa uteuzi huo haukutenda haki.

Wajumbe waliendelea kutenda  kutoa malalamiko hayo kuhusiana na uteuzi, hata hivyo bunge hilo limehahirishwa mpaka kesho saa tatu.

Ni vijimambo tu ndani ya BUNGE MOVIEEEE!!!!!!

No comments:

Post a Comment