Monday, March 17, 2014

 YARIOJIRI BUNGENI   BUNGE LA AHIRISHWA.

Jaji Warioba  ashindwa kuwasilisha  rasimu ya katiba bungeni .

Ni baada ya wajumbe wa bunge hilo kusimama kuomba mwongozo wa spika na kupiga kelele kabla ya Jaji kuwasilisha rasimu hiyo.

Bunge la ahirishwa mpaka watakapopewa taarifa. Endelea kupitia blog hii, kwani ni zaidi ya habarii!!

Watumia dakika kumi kukaa bungeni jion ya leo.

No comments:

Post a Comment