Chezea mshono ww! chukua huo kama vipp! ni Dida huyo wa TIMES fm
Mke wa Nsilo Swai alivyomkabidhi Mzee Mandela Viatu alivyoviacha Tanzania
Monday, December 16, 2013
PUMZIKA KWA AMANI TATA MADIBAAA! TULIKUPENDA SANAAA!!!!
DAAAAH!!! VIONGOZI MBALIMBALI WALIMLILIA MANDELA , HUYU NAYE ALIKUWEPO. PUMZIKA KWA AMANI TATAAA!!!
Dogo hiloooo hapana chezeaaaa!!! Ur Dreams willl comeeeee !! Mc uuuuu ma son
MADIBA HATUNAYEEEE!!!!
Ni kiongozi aliyekuwa mpiganji na mkonbazi katika nchi ya South Afrika, unapoizungumzia South Afrika hutoweza kuimaliza historia yake bila kumtaja Madibaaa Leo amefariki dunia usiku na kuwaacha simanzi familia yake na kujmwacha mjane anayeitwa Gracia Machel. Atazikwa ktk kijiji chake huko Pretotoria , cape town ! Tutawaletea makala yake inayomhusu Madibaaaaa aliyekaa gerezani miaka 27, na alipotoka aliwasamehe wotee!!
Wananwake kutoka katika mataifa tofauti barani Afrika wamejitokeza kwa pamoja kushow love kwa kutumia nafasi hiyo kujadili masuala tofauti yanayohusu michezo ili kuweza kuleta maendeleo nchini Katika kongamano hilo Naibu waziri wa habari utamaduni na michezo Amos Makalla amesema fursa zinzojitokeza lazima zichangamkiwe na wanawake kwani bila kujitokeza hakutasaidia maendeleo ya michezo nchini Nchi zaidi ya 17 zimeshiriki katika kongamano hilo na kuwataka wananchi kujitokeza siku ya jumatano kuhudhuria katika Kongamano hilo litakalokuwa na michezo mbalimbali kwa kuwahusisha wanawake na wanaume kutoka katika bara la Afrika.
Friday, November 29, 2013
CHASO WATOA TAMKOO!! Umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu mkoa wa dar imetoa tamko lake kuhusiana na makanjanja wanafunzi kutoka katika umoja huo kwa kudai kuwa hawajafurahishwa na maamuzi yaliyotolewa na Kamati kuu !, sasa CHASO wanasema wanaipongeza kamati hiyo kwa uamuzi huo kwani mwanachama yeyote anayekiuka maadili ya chama anastahili kuvuliwa au kufukuzwa kabisa katika chama hicho, kwa sababu anakwenda kinyume na taratibu za chama! Julius Matiko Amesema mbele ya waandishi wa habari na kusema kuwa wale si wanafunzi halali wa umoja wa chama chao , hivyo kuwataka watanzania wasiamini kwa kile wanachosema, wao kama Umoja wamepongeza kitendo hicho Chama akijali kabila wala cheo cha mtu kwa watu, so inatakiwa adabu utii na maadili katika chama yafuatwe kama katiba ya chama inavyoeleza. Xo vp hapa kuhusiana na hili, tiririka hapo chini mdauu wanguuuu!!!
Friday, November 22, 2013
STORY ZA KIZUSHI !!!!!!!!!!
Vijana wanaouzwa na Wazazi wao ili kuweza kuleta kipato katika familia zao, kwanini wazazi wanafanya hivi jamani? Kama ww mdau hebu toa maoni yako hapaaa, na kuweza kujua sababu, faida ikiwezekana tujue njia ipi tutakayotumia katika hili !!!!
Tuzungumze soteeeeeee!!!!!
Kwa wale Wapenzi wa Burudani nchini!!!!
Wanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria Peter na Pool, wapo nchini Tanzania kwa ajili ya kudondosha burudani zaidi kwa wapenzi wa muziki huo. Wakiongea na waandishi wa habari hotel ya kempisk jijini Dar , wamesema watatoa burudani ya kufa mtu ili kupoza kiu ya mashabiki waliokuwa wamewamiss kwa kipindi kirefuu ambao watakaohudhuria siku hiyo ya onyesho . Wanamuziki hao wanatarajia kufanya ionyesho lao siku ya jumamos tarehe 23, Nov, mwaka huu katika viwanja vya Leaders Jijini Dar es salaamm!!!!